Youssouf Ibrahim straika la mabao Gaborone United, ajiweka sokoni

Youssouf Ibrahim (32) mshambualiaji wa zamani wa Gabrone United ya Botswana mwenye uwezo wa kucheza winga zote mbili na mshambualiaji wa kati na bado akatoa ufanisi kwenye kutengeneza nafasi na kuzitumia msimu uliopita akifunga mabao 11 na Assit 3 hivyo kuwa na mchango wa 14GA kwa sasa ni free agent baada ya kumaliza mkataba wake na Gabrone United , Youssouf ana quality na experince ya kutosha matuzi mazuri ya kichwa na shoot power ya viwango pia ni kiongozi uwanjani

Youssouf ni national team player anakidhi vigezo vya TFF kutaka foreign player awe anacheza timu ya taifa ya taifa analotoka au timu za vijana sababu ana magoli 10 akiwa na jezi ya Comoro National team.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI