Yanga yawasili Ruangwa
Kikosi cha Yanga SC kimewasili Ruangwa, mkoani Lindi tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC msimu mpya wa 2026/27
Agosti 15, 2026 Yanga watakua ugenini katika Dimba la Majaliwa kukiwasha na Wauaji wa Kusini, Namungo FC, mchezo utakaopigwa saa tatu usiku.


