Yanga yatwaa tena Ngao ya Jamii

Yanga SC imeanza vema msimu mpya wa 2026/2027 baada ya kushinda Ngao ya Jamii kufuatia ushindi wa bao 1-0 dhidi ya mtani wake wa jadi Simba SC katika uwanja wa New Amaan Stadium Zanzibar.

Bao pekee lilifungwa na Mzambia Albert Kingwanda aliyeunganisha krosi ya Mkongoman Chadrack Boka dakika ya 32 kipindi cha kwanza.

Yanga sasa imekabidhiwa Ngao ya Jamii na kuashiria msimu mzuri kwao



Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI