Yanga yatamba kwa mabao, Shasha Man atupia

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu bara Yanga SC usiku huu imepata ushindi mnono wa mabao 4-0 katika uwanja wake wa KMC Complex.

Mchezo wa leo umekuwa na clean sheets kwa kipa wa Yanga Djigui Diarra baada ya kuruhusu mabao kwenye mechi mbili mfululizo, mabao ya Yanga yamefungwa na Albert Kangwanda dakika ya 28, Ibrahim Bacca dakika ya 34 na Chadrack Boka dakika ya 38.

Bao lingine la mabingwa hao wa bara limefungwa na Peter Shalulile 'Shasha Man" dakika ya 68, kwa matokeo hayo Yanga inarudi kileleni ikiwa na pointi 9 sawa na Simba ila Ina wastani mzuri wa kufunga.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI