Wananchi wajitokeza siku ya Wiki ya Wananchi

Baada ya Simba SC kusherehekea tamasha lake Simba Day jana, leo ni siku nyingine ambapo klabu ya Yanga SC wanaadhinisha tamasha lao la Wiki ya Wananchi katika uwanja huo huo wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Mashabiki wa Yanga walijitokeza mapema kuadhimisha Wiki ya Wananchi ambapo watashiriki kucheza na baadaye timu yao ya wanaume ya wakubwa itaingia uwanjani kucheza na Les Aigle ya DR Congo.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI