Wababe wa Yanga wakiona chamoto kwa JKT Tanzania

Wababe wa Young Africans SC, Les Aigles Du Congo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanapokea kichapo cha kizalendo huko Meja Janerali Isamuhyo dhidi ya Maafande wa JKT Tanzania.

Ni katika mchezo wa kirafiki ikiwa ni muendelezo wa maandalizi kuelekea msimu mpya wa NBC Primier League 2026/2027.

Mabao ya JKT Tanzania yamefungwa na Said Mkopi na Paul Peter Kasunda.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI