Stephanie Aziz Ki mzigoni Avic Town
Kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga, Stephane Aziz KI akiwa katika mazoezi ya kikosi hicho katika viwanja vya Avic Town Kigamboni
Yanga wanapiga tizi kujiandaa na mchezo unaofuata wa ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union utakaopigwa Alhamisi agosti 20,2026
Seleman Mwalimu naye alikuwepo katika viwanja hivyo vya mazoezi Avic Town ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu asajiliwe na Yanga
