Starboy kuagwa kwa heshima
Kuna uwezekano mkubwa Yanga wakamuaga kwa heshima Starboy Allan Okello,kwenye mechi ijayo dhidi ya Coastal Union.
Rabat wanamtaka Okello aripoti kambini haraka sana ila Yanga wanaomba wavumiliwe hadi tarehe 20 dhidi ya Coastal ili wamuage
Okello ataingia leo Dar es salaam na kikosi kizima cha Yanga wakitokea Lindi na baada ya hapo watajadiliana.
