Singida Black Stars yazindua jezi mpya

Klabu ya Singida Black Stars imezindua jezi zake mpya kuelekea msimu mpya wa mashindano.Klabu hiyo imewasilisha seti tatu za jezi, ambazo ni Home Kit, Away Kit na Third Kit, kwa ajili ya msimu mpya.

Jezi hizo zimekuja ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Singida Black Stars kuelekea msimu wa 2026/27, ambapo timu hiyo itaendelea kushiriki mashindano ya ndani.Wewe umezipa alama ngapi kati ya 10?

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI