Simba yapata ushindi kiduchu

Timu ya Simba SC usiku huu imepata ushindi kiduchu baada ya kuifunga Coastal Union ya Tanga bao 1-0 katika uwanja wa Meja Isamuhyo Mbweni jijini Dar es Salaam.

Mchezo huo wa Ligi Kuu bara ulikuwa wa upande mmoja kwa Simba kufanya mara kwa mara, bao pekee la Simba limefungwa na Ismail Toure baada ya kutokea nyuma.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI