Simba SC chapa bora Tanzania

Klabu ya Simba SC imeendelea kudhihirisha ukubwa na uthabiti wa chapa yake baada ya kutunikiwa rasmi cheti cha Superbrand kama taasisi namba moja inayojihusisha na michezo nchini Tanzania kwa mwaka wa pili mfululizo.

​Tuzo hii inadhihirisha ukuaji mkubwa wa thamani ya chapa (brand) ya Msimbazi, ubora wa utendaji wa kitaasisi, pamoja na ushawishi wake mkubwa katika sekta ya michezo nchini na barani Afrika.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI