Simba Queens ziarani Kenya

Mabingwa wa Ligi Kuu Wanawake Tanzania Tanzania Women's Premier League 2025-2026 Simba Queens wanatarajia Kusafiri Hadi Nchini Kenya August 11,2026 kwa Ajili ya Kuweka Kambi.

Simba Queens wanatarajia Kuweka Kambi ya Siku 7 Nchini Humo na Kupata Michezo ya Kirafiki kabla ya Kusafiri Kuelekea Nchini Rwanda kwenye Mashindano ya CAF Women's Champions League CECAFA Zonal Qualifies yanayotarajia Kuanza August 21,2026 Mpaka August 29,2026

Simba Queens imepangwa kwenye Kundi C na Timu Za Kenya Police Bullets (Kenya) pamoja na Top Girls (Burundi)

Kila la Kheri Mnyama Simba Sports Club (Queens)


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI