Shalulile azua balaa Mamelodi

Mashabiki wa Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini wameanza kutoa milio na wakionekana kuushutumu uongozi wa timu kumuachia aondoke.

Mashabiki hao wa Mamelod ya wameanza kuulamu uongozi wao pamoja na kocha wa timu yao Miguel Cardozo kwa kumuacha Peter Shalulile kutimkia Young Africans Sports Club ya Tanzania na kubaki na Mothiba ambae kiwango chake hawajaridhishwa nacho.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI