Seleman Mwalimu kila kitu safi

Young Africans SC tayari imeshamuingiza mshambuliaji wao Selemani Mwalimu kwenye mfumo wa FIFA Connect na kupata karatasi zote za leseni za kuitumikia klabu hiyo kuelekea msimu ujao kutoka Wydad AC!

Simba SC hawakuhusika katika kugoma na kutomtoa kwenye mfumo wasababu uhamisho wake ulikuwa umekwisha na kurudi katika klabu yake ya Wydad AC ambao wanammiliki na taarifa za Simba SC kugoma kumtoa kwenye mfumo sio za ukweli.

Selemani Mwalimu amepewa session ya peke yake na Mwalimu Manqoba Mngoithi ili kuwa vizuri na kuungana na wenzake kwasababu hakufanya mazoezi ya pre-season na wenzake na muda wowote kuanzia sasa atawatumikia Wananchi.

Seleman Mwalimu

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI