Seleman Mwalimu aanza mszoezi Wydad
Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Selemani Mwalimu 'Gomez' ameanza mazoezi ya maandalizi ya msimu mpya wa 2026/27 akiwa na waajiri wake, Wydad Casablanca ya Morocco baada ya kumalizika kwa mkataba wake wa mkopo kunako klabu ya Simba SC
