Salah atambulishwa Trabzonsor

Mohhamed Salah sasa ni rasmi mchezaji wa Trabzonspor, akijiunga na klabu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili unaoripotiwa kuwa na thamani ya €17 milioni kwa mwaka, sawa na takribani TSh bilioni 51 kwa mwaka.

Mkataba huo unatajwa kuwa na:

€10 milioni mshahara — takribani TSh bilioni 30 kwa mwaka.
€7 milioni bonasi ya kusaini — takribani TSh bilioni 21.
20% ya mapato yatokanayo na mauzo ya bidhaa zenye chapa ya Salah.

Hivyo Kwa miaka miwili, thamani ya mshahara na bonasi pekee inaweza kufikia takribani TSh bilioni 102.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI