Ronaldinho Gaucho arejea kwenye soka na mabao

Miaka 11 baada ya kuaga soka la ushindani, Ronaldinho Gaúcho amerudi tena kwenye soka la kulipwa akiwa na miaka 46

Nguli huyo wa Brazil amejiunga na Ravenna FC ya Italia, inayoshiriki Serie C, akiwa tayari kutoa mchango wake kwa timu hiyo.

Cha kuvutia zaidi, Ronaldinho ameacha mlango wazi wa kucheza angalau mchezo mmoja rasmi, huku akitamani kufikisha bao lake la 300 katika soka la kulipwa.

Mechi ya kwanza katokea Sub katupia chuma mbili kumbe miaka inaweza kupita, lakini uchawi wa Gaucho hauzeeki.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI