Rashid Juma aibukia Mbeya City

Klabu ya Mbeya City ya mkoani Mbeya hii leo imemtambulisha kiungo mshambuliaji wa zamani wa Simba, Rashid Juma Mtabigwa kuwa mchezaji wake.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI