Rais Samia azitakia kila kheri Simba na Yanga

Tumeshuhudia burudani katika Dabi nyingine ya Kariakoo kupitia mchezo wa Ngao ya Jamii. Pongezi kwa Klabu ya Yanga kwa ubingwa wa 10 wa Ngao ya Jamii.

Ninazitakia kila la heri timu zote katika msimu mpya wa Ligi Kuu, pamoja na mashindano mengine ya kitaifa na kimataifa.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI