Picco Kikongwe aeleza sababu za kutunga wimbo kikongwe

Msanii wa muziki, Picco ambaye alitamba na wimbo ‘Kikongwe’ amedai wimbo huo aliuandaa kwaajili ya kupinga mauaji ya vikongwe kwa kuwaonyesha upendo.

Picco ambaye ni miongoni mwa wasanii ambao watafanya show kwenye miaka 30 ya BongoFleva Dodoma.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI