Okwi akumbushia goli 5-0 walizoifunga Yanga

Nyota wa zamani wa Simba SC, Mganda Emmanuel Okwi azikumbuka nyakati ambazo walipata ushindi wa magoli matano dhidi ya Yanga.

Afunguka sababu za kutopiga penati siku hiyo ambayo ingemfanya aifikie rekodi ya mkongwe Abdallah Kibadeni ya kufunga hat trick.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI