Okello auzwa AS FAR Rabat

Klabu ya Young Africans imefikia maamuzi ya kumuuza kiungo mshambuliaji wake raia wa Uganda, Allan Okello, kwenda klabu ya AS FAR Rabat ya nchini Morocco.

​Maamuzi hayo yanakuja mara baada ya Wananchi kufanikiwa kukamilisha dili la kurejea kwa Stéphane Aziz Ki kikosini hapo, jambo lililowafanya viongozi wa Yanga kuwa tayari kuachia saini ya Okello.

​Kwa Taarifa AS FAR wamefanikiwa kumpata mchezaji huyo baada ya kuweka mezani dau kubwa zaidi lililowapiku wapinzani wao wa ligi kuu ya Morocco, Wydad Casablanca, waliokuwa wakiwania pia saini ya Okello.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI