Muhindi wa Simba mbaroni kwa kuichafua Jayrutty
Taarifa nilizonazo ni kwamba shabiki wa Simba maarufu kama Muhindi wa Simba na wenzake wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kuchafua kampuni ya Jayruty kwa aina tofauti.
.
Muhindi wa Simba na wenzake wamekua wakiongea na vyombo vya habari mara kadhaa wakieleza juu ya kampuni hiyo kutokidhi vigezo vya kuidhamini Simba lakini pia wakieleza kutoridhishwa na huduma za Jayruty kwa Simba.
