Mdogo wake Ngassa aweka aweka rekodi Ligi Kuu bara
Mshambuliaji wa Dodoma Jiji FC, Beno Ngassa ndiye mfungaji wa bao la kwanza kwenye NBC Premier League msimu wa 2026/27 akifunga bao hilo dhidi ya Pamba Jiji FC katika uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza wakati timu hizo zikitoshana baada ya nusu saa ya mchezo.
Bao la Pamba Jiji limefungwa dakika ya 23 na Deogratus Mafie wakati timu zilifungana bao 1-1 hadi mapumziko
