Maxi Nzengeli aweka rekodi Ligi Kuu bara

Kiungo mshambuliaji wa timu ya Yanga SC Maxi Nzengeli ndiye mchezaji wa kwanza kufunga bao nje ya boksi kwenye NBC Premier League msimu wa 2026/27.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI