Maua Sama kuwa mama mtarajiwa

Msanii wa Bongo Flava Maua Sama ameamua kuwafahamisha mashabiki zake kuwa anatarajiwa kuwa mama hivi karibuni baada ya ku-share picha zake mpya ambazo zimemuonyesha akiwa mjamzito baada ya tetesi kusambaa mitandaoni.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Maua ameweka picha hizo akisindikiza na ujumbe uliosomeka, “Am grateful Alhamdulillah, post ambazo imepata comments mbalimbali za wasanii na mashabiki zake wakimpa hongera na kumtakia kheri.

Maua Sama

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI