Les Aigle De Congo yatibua sherehe za Yanga

Timu ya Les Aigle De Congo ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, (DRC) imeharibu sherehr za Yanga SC baada ya kuifunga mabao 2-1 uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Licha ya mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kusherehekea tamasha lao la Wiki ya Wananchi, lakini vijana hao Aigle wameweza kukomaa na kupata ushindi.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI