Kocha Geita Gold aizimia Simba

Kocha wa Geita Gold, Zubery Katwila, amesema kesho wanakutana na timu bora ambayo inaendelea kuimarika zaidi kiuchezaji dimbani.

Katwila amesema kadri siku zinavyosonga, Simba inaendelea kuwa bora zaidi, hivyo wao kama Geita Gold wamejiandaa na mbinu zitakazowasaidia kufanya vizuri.

Pia amesema watajaribu kutumia makosa ambayo Simba itafanya ili kuwapa adhabu uwanjani na kutafuta matokeo mazuri.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI