Kiungo wa boli atimkia Libya
Kiungo James Akaminko (30) raia wa Ghana ametambulishwa rasmi kama mchezaji mpya wa klabu ya Al-Akhdar SC ya nchini Libya kwa uhamisho huru akitokea klabu ya Azam FC ya Tanzania.
Akaminko amesaini mkataba wa mwaka mmoja utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2027 akihitimisha utumishi wake kwa Wanalambalamba tangu ajiunge nayo mwaka 2022 akitokea Great Olympics ya Nchini kwao Ghana.
