Kenya yataka mechi za ufunguzi


Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi, Nicholas Musonye, amesema Kenya ina uwezo wa kuandaa mechi ya ufunguzi na fainali ya AFCON 2027.

Hii ni wakati ambapo maandalizi ya pamoja ya Kenya, Uganda na Tanzania (PAMOJA) kwa AFCON 2027 yanaendelea kushika kasi.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI