Ismail Mgunda mseme nyie.....
Ismail Mgunda ameanza kazi rasmi katika kikosi cha Simba SC, mchezaji huyo anayecheza nafasi ya mshambuliaji wa kati amesajiliwa kwenye dirisha kubwa akipewa matumaini makubwa.
Mgunda amejiunga na kikosi hicho akitokea timu ya Mashujaa FC ya Kigoma, anakamilisha safi ya ushambuliaji yenye nyota watatu wakiwemo Elie Mpanzu raia wa DR Congo na Ibrahim Doumbia raia wa Mali.





