Hatimaye Girumugisha atua Al Ahli Tripoli

Klabu ya Al Ahli Tripoli imetangaza kumsajili Jean Claude Girumugisha kutoka Al Hilal Omdurman.

Mshambuliaji huyo amesaini mkataba wa miaka miwili na miamba hiyo ya Libya.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI