Fountain Gate yaanza ligi
Timu ya Fountain Gate inayonolewa na Fred Minziro imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mashujaa FC ya Kigoma katika mfululizo wa Ligi Kuu bara
Bao pekee la ushindi limefungwa na Kassim HarunaShabani, kwa ushndi huo umeamsha matumaini baada ya kuanza ligi vibaya katika mchezo wake wa kwanza na kufungwa na Singida Black Stars.
