Fofana kufunga usajili Yanga
Yanga wako kwenye mazungumzo na kiungo mshambuliaji wa Asec Mimosas,Souleymane Fofana (20).
personal terms Siyo ishu na mchezaji yuko tayari kuja Yanga,ila Yanga watavunja mkataba wake baada ya mauzo ya Okello kukamilika.
Yanga wana ofa ya $790,000 (Tsh 2b) kutoka nje ya nchi na punde pesa ikiwekwa kwenye akaunti OKello ataondoka na Yanga watakamilisha usajili wa Fofana.
