Fei atoweka Simba SC
Kiungo Feisal Salum atawasili Arusha, Tanzania kwaajili ya kufanyiwa summalization ya jeraha lake dogo la nyama za paja akiwa na kikosi cha Azam FC na ataukosa mchezo wa kwanza wa Azam FC dhidi ya Polisi Tanzania.
Feisal Salum hatojiunga na Simba SC katika dirisha hili na ataendelea kuitumikia Azam FC kwa mkataba wa mwaka mmoja uliobaki hadi June 30, 2027 ambapo atakuwa mchezaji huru (Free agent).
