Duchu kazi anayo kwa Chilambo
Nathaniel Chilambo ni bonge la fullback wa kulia na kwa kiwango alichonacho, hivi karibuni anaweza kuanza kumpa presha kubwa David Kameta Duchu kwenye nafasi hiyo.
Chilambo alionyesha uwezo mkubwa tangu akiwa Azam FC, tatizo lilikuwa ushindani wa namba. Sasa akiwa Simba, kwa kuangalia kiwango chake pamoja na umri wa Kapombe, naamini ushindani wa fullback wa kulia utakuwa mdogo sana kwake.
Kwa kifupi, Chilambo namba ya David kameta duchu ameichukua mapema maana duchu amejichanganya sana kwenye kadi nyekundu.
