Dube atakata Hardrock
Prince Dube na Hardrock FC wametinga hatua ya robo fainali baada ya kuwatwanga kama mihogo Jordan Sinoti kwenye kombe la Munhumatapa Challenge Cup
Katika mchezo huo Dube aliianza lalini hakufamikiwa kufunga kwenye karamu ya mabao 5-1
FT: Hardrock 5-1 Jordan Sinoti
