Doumbia aendelea kucheka na nyavu, ikiiua El Marreikh 2-0

Klabu ya Simba imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya El Merreikh ya Sudan katika mchezo wa kirafiki uliochezwa Kigali, Rwanda.

Simba imepata mabao yake kupitia kwa Libasse Gueye aliyefunga bao la kwanza, kabla ya Ibrahim Doumbia kuongeza la pili na kuipa timu hiyo ushindi.

Hii ni mara ya pili kwa straika huyo mpya wa Simba kucheka na nyavu ambapo mara ya kwanza alitupia wakati Simba ilipocheza na Singida BS kwenye Kagame CECAFA Cup


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI