Depu atambulishwa Petro de Luanda

Mshambuliaji raia wa Angola, Laurindo Aurélio maarufu Depu, ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa Petro de Luanda baada ya kuondoka Yanga.

Depu ametambulishwa rasmi leo Jumatano Agosti 12, 2026 ambapo inadaiwa Yanga imeingiza kitita cha dola 500,000 (Sh1.3 bilioni) kwa ajili ya usajili wa mchezaji huyo.

Depu alikuwa sehemu ya kikosi cha Yanga msimu uliopita kabla ya kurejea nchini Angola kujiunga na Petro de Luanda.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI