Depu aanza na goli Petro de Luanda


Mshambuliaji wa zamani wa Young Africans, Laurindo Depu, leo ameanza kuonyesha makali yake baada ya kufunga bao moja katika ushindi wa 2-0 wa Petro de Luanda dhidi ya Académica do Lobito kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Angola.

Hili ni bao lake la kwanza Depu tangu ajiunge na miamba hiyo ya Angola.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI