Clara Luvanga atupia tena huko...
Mshambuliaji wa Timu ya Taifa Tanzania "Twiga Stars" Clara Luvanga amefunga Magoli Saba pekee yake kwenye ushindi wa Magoli 12 ya timu yake ya Al Nassr Women
Nyota huyo ameendelea kuonesha ubora mkubwa wa Ufungaji wa Magoli akiwa na timu ya Al Nassr Women baada ya kuwafunga magoli Saba timu ya CSKA Dushanbe kwenye mchezo wa Uefa Asian Women
