Bodi ya Ligi Tanzania na Mali waenda kujifunza Yanga

Uongozi wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania ukiambatana na wageni wao kutoka Bodi ya Ligi ya Mali, umefika katika Klabu ya Yanga kwa ziara yenye lengo la kujifunza na kubadilishana uzoefu kuhusu namna klabu inavyojiendesha.

Katika ziara hiyo, wageni hao wamepata fursa ya kufahamu mifumo ya uendeshaji wa klabu, usimamizi wa shughuli za kila siku, maendeleo ya biashara na masoko, matumizi ya teknolojia, pamoja na namna Yanga inavyosimamia chapa yake na kuwahudumia mashabiki

Wageni hao wamepokelewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Yanga SC, Andre Mtine



Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI