Beki aliyetambulishwa Yanga kutemwa

Yanga wana mpango wa kumkata beki wao wa kati Oumar Farouk Comara,ili kupata nafasi ya kumuingiza kwenye mfumo namba 10 wao mpya ajaye.

Comara alisaini mkataba wa miaka miwili wenye kipengele cha kutazamwa ndani ya miezi sita ila hadi sasa bado hajawashawishi.

Awali Yanga walitaka kumuuza Okello ili wapate nafasi ya namba 10 wao mpya ila hadi sasa hakuna timu iliyofika bei $1.5m hivyo Comara yuko kwenye hatari ya kukatwa.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI