Aziz Ki arejea rasmi Yanga SC


Young Africans SC imemsajili kiungo Stephane Aziz Ki kutoka Al Ittihad SC kuelekea msimu ujao.

Young Africans SC wanamalizia vitu kadhaa kwenye papers na masharti ya Al Ittihad SC ili waweze kumtangaza rasmi.

KI Aziz hataki kuitumikia tena na tayari alishawapa taarifa mapema sana Al Ittihad SC na klabu hiyo ya Libya ilikuwa tayari kumuachia na iliheshimu mahitaji ya mchezaji huyo.





Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI