Anaandika Nasri Khalfan mchambuzi wa Wasafi FM

Magoli mawili katika michezo mi3 ya mwanzo wa Ligi sio mbaya... yeye na Jonathan Sowah ndio Washambuliaji wakati wenye takwimu nzuri katika hii michezo mi3 ya mwanzo.

Mazingira mapya na amezungukwa na Wachezaji wapya. Lazima ilihitajika time kuonekana muunganiko wa moja kwa moja kati yake na viungo wake.

Akiongezeka na Aziz Ki bila ya shaka huduma itakua ya uhakika zaidi kwake.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI