Alphonce Mabula atambulishwa JS kabyile

Kiungo wa Kimataifa wa Tanzania, Alphonce Mabula Msanga ametambulishwa rasmi kama mchezaji mpya wa klabu ya JS Kabylie ya Nchini Algeria kwa uhamisho huru baada ya mkataba wake na klabu ya Şamaxı FK ya Azerbaijan kusikia ukomo.

Klabu hiyo imethibitisha kukamilisha usajili wa nyota huyo mwenye umri wa miaka 23 leo Agosti 31, 2026 kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii bila kuweka wazi urefu wa mkataba wake klabuni hapo.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI