Al Hilal yafanya balaa kubwa Rwanda


Miamba ya Sudan, Al Hilal Omdurman, imeendelea kuthibitisha umahiri wake mkubwa kwenye sekta ya usajili baada ya kuikanda Kiyovu Sports mabao 5-0 nchini Rwanda, huku nyota wao mpya Ansumana Samura akiwa mwiba mchungu dimbani!

Kijana huyo mwenye umri wa miaka 18 pekee, aliyekabidhiwa jezi ya aliyekuwa nyota wa timu hiyo Jean Girumugisha, ametia kambani mabao matatu na kuonyesha mwanzo wa kishindo.

Mabao mengine ya Al Hilal yaliwekwa kambani na Qamardine pamoja na Ahmed Salem kusaidia kukamilisha ushindi huo mnono wa mabao 5-0.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI