Yanga na Simba kupigwa New Amaan Stadium
Mechi ya kuashiria kuanza Ligi Kuu ya NBC Primier League 2026/2027 Ngao ya Jamii inatarajia kuchezwa kwenye uwanja wa New Amaan Stadium mjini Zanzibar.
Mechi hiyo iliyopangwa Agosti 12 mwaka huu inayokutanishwa watani wa jadi Yanga na Simba, itachezwa uwanja huo usiku saa 2' 30, Bodi ya Ligi wameelekeza mechi kufanyika Amaan Stadium badala ya uwanja wa Uhuru.
