Pyramids kuibomoa Al Ahly


Klabu ya Pyramids inaangalia uwezekano wa kumrudisha nchini Misri mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Al Ahly,Wessam Abou Ali.

Abou Ali kwasasa anacheza ligi kuu nchini Marekani, inaelezwa ni endapo mshambuliaji hatari raia wa DRC, Fiston Kalala Mayele akitaka kuondoka,kuna uwezekano wa kumvuta Abou Ali.

Inasadikika kiasi cha billion 39 za kitanzania kimewekwa na mabwenyenye wa klabu hiyo..

Wakati Abou Ali anaondoka Al Ahly, aliwahi kunukuliwa akisema,kama ni kurudi nchini Misri kucheza tena mpira basi hakuna timu nyingine ataichagua zaidi ya Al Ahly.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI