Pedro akiri Simba ni timu kubwa

Kocha wa Yanga SC, Pedro Goncalves anasema tangu ametua Jangwani wamecheza mechi kadhaa kubwa, lakini kesho wanakwenda kukutana na mpinzani wao mkuu.

Ni mkutano wa makocha na manahodha wa Yanga na Simba 


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI